Hii ni program maalum ya simu niliyotengeneza ili kutoa elimu na ufahamu kuhusu maombi ya mkopo-HESLB, vyuo, vyeti na NaPA na huduma nyingine, kwa wanafunzi wote waombaji.
Pia, programu hii inatoa elimu kwa njia ya maandishi na sauti (Audio). Pia ina muwezesha mtumiaji kupata notifications kuhusu taarifa mbalimbali kadri zinavyojiri.